Tusitishane bwana, kwani hawa warembo kawaumba nani hadi tusitoboe mbinguni? Mwenyewe katupa halafu atunyime haiwezekani.MIMI NAWAAMBIA MEMBER WA HUU UZI
"KAMA AMRI BADO NI ZILE ZILE KUMI NASEMA MBINGUNI HATUTOBOI"
Red
Cheki upaja huo...sikuzote chagua aliyenona.