Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Duh!! uzi mzima kwanzia mwanzo mpaka mwisho nimegundua wanawake wote Hawa wanahangaika na kujitaidi kujiremba na kuyabinua matako kisa TU wanaume tuwaone.

Tusingekuwepo wanaume, wangejirembea Nini na matako Yao wangembinulia nani?

Hatutumii mekapu kama wao lakini wanatumia gharama kufanya mekapu za kutupata sisi.

Wanaume ni viumbe vya kipekee na adim tunahitajika kama Almasi, tutembee vifua mbele na kufurahia kuumbwa wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…