Safii sana..Wakati niko darasa la nne 4 pale maeneo ya Sinza nilikua nakapita haka katoto kalikua kachafu age 2 leo hii napita mitaa ile nakutana nacho kimenoga aisee hawa viumbe Mungu aliwaumba kwa kweliView attachment 2299742
Aisee......Muibukie DM kamanda.
Huwa anajibu meseji zote 😁😁😁
Hii Nchi nadhani ni mhimu kuitembelea aiseeRwanda ipewe heshima yakeView attachment 2304652
Bundle kipengele Natumia jamiiforums ya free basicBadilisha simu mzee nunua yenye uwezo mkubwa maana haya mambo ni mazito
Doh,huyu yafaa anyw mpk ----
Si mchezoDoh,huyu yafaa anyw mpk ----
Ova
Na wewe ni Mnyarwanda? Au huwajui Tabia zào Sura zinakudanganya? Hao waache wabebane wenyewe.
🤣🤣Ata sisi tulooa tutaenda