Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Nipe addressYuko powa sana,mfuko wako tu
Hii kuku wa kienyeji sjui y wapi
Hata Mimi inanikutaga sana hiiHivi mdada ambae anakuangalia sana , ukimuangalia anaangalia pembea, mara kwa mara hii huwa muda maana gani wadada [emoji23], Leo nimekutana na pc ya Maana sema sikutaka mazoea lkn nahisi ilikuwa na jambo lake ambalo sikujua nini, wataalam fafanueni hapa huku mkiendelea kutupia pc
Mwamba collection yako ina vitu vikali sana 🔥