Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

8.jpg
 
CHINUA ACHEBE AMEANDIKA KATIKA RIWAYA YAKE YA "THINGS FALL APART" KWAMBA.
Mtu anayewaalika Jamaa zake kwenye sherehe hafanyi hivyo kwa ajili ya kuwaokoa kwa sababu ya njaa. Waalikwa wote wana vyakula majumbani kwao.
Tunapokusanyika usiku wa mbalamwezi katika ardhi ya kijiji chetu, siyo kwa sababu ya Mbalamwezi.
Kila mmoja angeweza kuiona mbalamwezi akiwa nyumbani kwake.
Tunakusanyika kwasababu ni jambo zuri kwa Jamaa kukusanyika pamoja.

Kwa hiyo tuendelee na umoja wetu ili tufurahie nguvu ya kuwa pamoja.
Tukitabasamu haimaanishi kwamba hatuna matatizo isipokuwa kwasababu tuna nguvu ya kuyashinda matatizo.

Peke yako unaweza kutabasamu lakini mkiwa pamoja mnaweza kucheka.
Ukiwa peke yako unaweza kufurahi lakini mkiwa wengi mnaweza kusherehekea.
Ukiwa peke yako unaweza kutamka lakini mkiwa pamoja mnaweza kuongea.

Tuendeleze mambo ambayo yanaweza kutuunganisha pamoja kuliko mambo ambayo yatasababishaj kutengana[emoji1431].

Nawatakia mema ya Christmas na mwaka mpya 2023. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Ujumbe murua ila ilipaswa uambatane na picha moja ya mrembo matata
 
Damn !!aisee huyu mrembo wa ITV odana madai mbona ni mzuri aisee,ana shape sio la kawaida,au mm ndio naona wenge, na hii utaratibu wao wa kusimama alafu waende kukaa sijawaela au ndio kutuonesha Wana mi shape .
 
Back
Top Bottom