The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
DamnMiaka kumi nyuma nilikua sina hela halafu kuna pisi kali sana niliielewa lakini Kila Niki approch inanikataa sasa 2020 nikaonana nayo kwenye kampeni za magufuli mjini dar aisee ,,,,
Kwanza suprise ya kwanza tulienda KFC kupata lunch Toka hapo nikaona sms kama zote mbona nilikula mzigo bila ya kuomba
Boss ulitumia kama shs ngap lunch????Miaka kumi nyuma nilikua sina hela halafu kuna pisi kali sana niliielewa lakini Kila Niki approch inanikataa sasa 2020 nikaonana nayo kwenye kampeni za magufuli mjini dar aisee ,,,,
Kwanza suprise ya kwanza tulienda KFC kupata lunch Toka hapo nikaona sms kama zote mbona nilikula mzigo bila ya kuomba
150,000/=Boss ulitumia kama shs ngap lunch????
Hakuna Kitu Hapo Kaisha zoeleka huyo hana mvuto
Hakuna Kitu Hapo Kaisha zoeleka huyo hana mvuto