Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wacha weeeee.

Shikamoo KIOO.

[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mmmmmh, jamani pacha ninI tena my lovely twin.

Naona umefukua makaburi pacha wangu kipenzi mwaya. Thawa bhana.

ila kiukweli macho sjui yameumbwaje jamani coz toa mada anaweza akamuona mzuri ila kwa mie uzuri wake si lolote si chochote kwangu coz hawezi kumshinda uzuri mwenye hii avatar hapa chini pacha wangu.

Screenshot_20180730-213947.png

So Lovely.
 
Last edited:
Mmmmmh, jamani pacha ninI tena my lovely twin.

Naona umefukua makaburi pacha wangu kipenzi mwaya. Thawa bhana.

ila kiukweli macho sjui yameumbwaje jamani coz toa mada anaweza akamuona mzuri ila kwa mie uzuri wake si lolote si chochote kwangu coz hawezi kumshinda uzuri mwenye hii avatar hapa chini pacha wangu.

View attachment 823033

So Lovely.
Hahaaa. Sijafukua mie jamaani Pacha lol.

Ndivyo yalivyo macho hivyo wala usishangae sababu hata huyo Hajar hapo wapo watu waeza sema si lolote. Hivyo haya macho tuachane nayo tu kwa kweli.

Hahahaaaa.
 
Aaaaaaah wapi, si kwa Hajar ati.

Huyo atakuwa hajui thamani halisi ya mwanamke ati.

Mwenye kujua haezi kusema hiyo kauli my lovely twin.

Lovely.
 
Mmmmmh, jamani pacha ninI tena my lovely twin.

Naona umefukua makaburi pacha wangu kipenzi mwaya. Thawa bhana.

ila kiukweli macho sjui yameumbwaje jamani coz toa mada anaweza akamuona mzuri ila kwa mie uzuri wake si lolote si chochote kwangu coz hawezi kumshinda uzuri mwenye hii avatar hapa chini pacha wangu.

View attachment 823033

So Lovely.
Kwamim uono wangu wa macho kisura huyu dem ni mzur akiwa na hijab au bila hijab. MashaAllah[emoji120]
 
Back
Top Bottom