M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
.
Huna kazi mbaya bruh
Ivi wenzangu urembo wa mwanamke huwa mnaangalia nin? Atakaenijbu aseme anazingatia nini kwa huyu mwanamke
Umbo,usura,rangi na kimo hivi vikienda sambamba na traaaadah
DahUmbo,usura,rangi na kimo hivi vikienda sambamba na traaaako.
Nitafute zangu hela niwe natumia na hizi pisi hii miaka iliyobaki hapa duniani.Kila mmoja na starehe yake hatuna malengo sawa.