Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Obese katika maeneo pendwahuyu si obese kabisa mkuu😅
Mkuu unatumia simu gani? Ina picha kali saaaana.
Huyu kajiumba mwenyewe nini hatari
Ungekuwa mwanaume inaonekana ungewapelekea moto sana wanawake wenye misambwanda🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana mzabzab bana 😄😄😄😄 sijui hata ningekuwa napenda type gani.Ungekuwa mwanaume inaonekana ungewapelekea moto sana wanawake wenye misambwanda🤣🤣🤣🤣🤣
Hujui tena wakati tunaona unapost warembo wenye matakozHapana mzabzab bana 😄😄😄😄 sijui hata ningekuwa napenda type gani.
Oooh bahati mbaya naona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu acha kunichimba bana. Muone 😜Hujui tena wakati tunaona unapost warembo wenye matakoz
Mkuu unatumia simu gani? Ina picha kali saaaana.
Wazee wa Harmony OSNatumia kitu cha Mchina kinaitwa HUAWEI P50 Pro. Kwenye kamera wako vizuri sana kuwazidi hata Apple na Samsung. Sema tu wamefanyiwa figisu sana na Wamarekani na nchi za Ulaya eti electronics zao zina surveillance....