Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
🤯
We jamaa ujue unazingua+220 335 6373 hio hapoo kaka
Nazingua nn siumetaka namba ndio hiyo unitumie hio APKWe jamaa ujue unazingua
Yaan mkuu ujue nimechoma bando langu kukutumia file afu umeniletea ubabaishajiNazingua nn siumetaka namba ndio hiyo unitumie hio APK
Kaka sorry sana aiseee ili kumaintain ile ANONYMITY nimekutumia namba ya jamaa yangu wa Gambia then ye ndio anitumie mimi.Yaan mkuu ujue nimechoma bando langu kukutumia file afu umeniletea ubabaishaji
Mara unaniuliza sijui who are you, mara I don't know you
Aah! Nimekwazika kis*ng* yaani ujue
SawaKaka sorry sana aiseee ili kumaintain ile ANONYMITY nimekutumia namba ya jamaa yangu wa Gambia then ye ndio anitumie mimi.
Na nilishampanga kuwa kuna mtu atatuma APK,may be kasahau SORRY sana kaka, nakutext kwa namba yangu mwenyewe.