Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Yaan mkuu ujue nimechoma bando langu kukutumia file afu umeniletea ubabaishaji

Mara unaniuliza sijui who are you, mara I don't know you

Aah! Nimekwazika kis*ng* yaani ujue
Kaka sorry sana aiseee ili kumaintain ile ANONYMITY nimekutumia namba ya jamaa yangu wa Gambia then ye ndio anitumie mimi.

Na nilishampanga kuwa kuna mtu atatuma APK,may be kasahau SORRY sana kaka, nakutext kwa namba yangu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…