😋😋😋Siku nikojaaliwa kuokota milioni 100, naihongga hapa, potelea mbali!
50 naihonga kwa huyu! 😁😁😁
Toto limekaa kiutamu balaa,
Babu huyu sio Miss Dridri kweli?! Nivumilie mjukuu wako 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Huyu anaonekana,hiyo style alokaa anaipenda sana
Duh!