Hahaha.......kuna jamaa nilimsoma hapa, sijui ulikuwa ni wewe au mtu mwingine, alisema kwenye lile tendo ni muhimu Me uwamwage Wareno then uendelee na jukumu la kutafuta hela tu 🤗🙌Banaa wewe hatuelewi kama tunawafikisha au wanatuzuga sasa .. 😅😅😅
hawa sio wa kuwatilia maanani .. maliza jipe raha mwemyewe muache atajijua kama ni alikuwa anakuigia au lah.. kikubwa wareno wamo ndani 😅😅Hahaha.......kuna jamaa nilimsoma hapa, sijui ulikuwa ni wewe au mtu mwingine, alisema kwenye lile tendo ni muhimu Me uwamwage Wareno then uendelee na jukumu la kutafuta hela tu 🤗🙌
hizi nguo za chui chui sijui huwa zina nini.. mwanamke akivaa asilimia kubwaa atakuingiza kwenye kumtamani
Hahaha..........hilo muhimu sana kwa kwelihawa sio wa kuwatilia maanani .. maliza jipe raha mwemyewe muache atajijua kama ni alikuwa anakuigia au lah.. kikubwa wareno wamo ndani 😅😅
wanatuigizia sana kaole 😅😅 unaweza hisi umepiga show ya maana kumbe akitoka hapo anaweza ruka hata kambaHahaha..........hilo muhimu sana kwa kweli
Hahaha.................lakini Mzee mwenzangu unadhani tuna nguvu za kuwafanya baada ya tendo watafute Feni kujipepea 🤪🏃🏃wanatuigizia sana kaole 😅😅 unaweza hisi umepiga show ya maana kumbe akitoka hapo anaweza ruka hata kamba
😅😅😅 wawe hata na ka aibu ka kutusitiri, waheshimu jasho letu, yani unamaliza jitu macho makavu kinomaaa kama bundi. Huoni kabisa macho ya mtu kama alikuwa anafanya mapenzi..Hahaha.................lakini Mzee mwenzangu unadhani tuna nguvu za kuwafanya baada ya tendo watafute Feni kujipepea 🤪🏃🏃
Naendelea kushikilia point yako muhimu
- Shusha wazungu nenda ukatafute hela
Hahaha........huenda anakuwa anawaza vikoba😅😅😅 wawe hata na ka aibu ka kutusitiri, waheshimu jasho letu, yani unamaliza jitu macho makavu kinomaaa kama bundi. Huoni kabisa macho ya mtu kama alikuwa anafanya mapenzi..
😅😅😅😅 sanaa ya mapenzi imekuwa adimu.. ile unamaliza mtoto kaitika na kulala kama kichenga haipo hiyoo tena na ni adimu sanaaa siku hiziHahaha........huenda anakuwa anawaza vikoba
chui chui hizi huwa ni hatari
Ndiyo maana huwa nasema Mapenzi yalikuwa enzi zetu, hakuna cha magonjwa makubwa wala nini, alafu unakuta mtoto anajua mambo ile ile.😅😅😅😅 sanaa ya mapenzi imekuwa adimu.. ile unamaliza mtoto kaitika na kulala kama kichenga haipo hiyoo tena na ni adimu sanaaa siku hizi