Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

FB_IMG_1685618466142.jpg
 
Mkuu hivi ulishawahi kua na Mwanamke Hadi ukawa unajiuliza huyu nilimpataje? Yaani huendani nae hata kidogo kwa uzuri+status aliyonayo. Ndivyo ilivyokua kwangu, kwanza nilikua nikiongea nae nagundua kumbe mimi mjinga sijui kitu. She was far too smart kunizid. Tulidumu 1yr niliachwa muacho matata sana
View attachment 2641694
Hii inatokea unakutana na bibie yuko fit kila sekta kichwani yupo vizuri muonekano ndio kabisa ndio wanaitwa madame boss wanapendelea gari za kijerumani za kijapan labda Fortuner
 
Niliwahi kua na Mwanamke anafanana hivi...macho, shingo,weupe,lips hadi nywele kaziachia hivyo. Aisee ni moja kati ya kumbukumbu bomba maishani mwangu. Hadi nilitoka kitambi ajili yake[emoji28][emoji28][emoji28] Ila furaha inavyokua kubwa ndio huzuni inakaribia kukufikia[emoji17]

- Courtesy of Original poster SHIMBA.Y.BView attachment 2638095
Mkuu ungepambana Mzee ,
 
Back
Top Bottom