Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
jaman jamn hala hala hawa viumbe Mungu awabariki
jaman jamn hala hala hawa viumbe Mungu awabariki
Muwe mnavishauri hata vijenge maana si muda wanaibuka wengine zaidi yao
Watakusoma tuu tunaishia kuwaona mitamdaoni.Muwe mnavishauri hata vijenge maana si muda wanaibuka wengine zaidi yao
KFC na Pizza Hut ya Mikocheni eeh.. Shikamoo bro.
hiyo ya mlimani city.. si unaona mbele pale kuna GranoKFC na Pizza Hut ya Mikocheni eeh.. Shikamoo bro.
Kweli bwana kwa nje. Yule jamaa wa ndani ya kioo ameshika fuko la KFC ndio amenimix.hiyo ya mlimani city.. si unaona mbele pale kuna Grano
Binti mzuri sana huyu.
Lioness heartHapa nyetooView attachment 2640751
Ni nini hiki mshana. 😳😳😳😳😳
Picha ya 7,8na ya 10 zinatumika sana mtandaon kutapeli watu