KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Dada kawaida tu,ishu mkeo!.Mara paaap dada yako katupiwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada kawaida tu,ishu mkeo!.Mara paaap dada yako katupiwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Vijana wanafaidi 🏃🏃
Hapa hata kama shamba la urithi unajikuta una honga tu 🤪
Wanafaidi wazee vijana hawana helaKweli Vijana wanafaidi 🏃🏃
Basi itakuwa wazee wenye nazo, ngoja namimi pension yangu itoke niopoe mmoja 🙈🏃🏃🏃Wanafaidi wazee vijana hawana hela
Rehema facebeatNi nani huyu?
Huyu Bantu Lady na mwenzake Antonnia, maniner basi tu sina vyangu halafu standard zao zipo juu, halafu wameweka lock makufuli, halafu nna aibu😂😂, halafu sio rahisi kuwapata...ile fantasy yangu hapa ingetimia...Bantu Lady akikutazama tu unaweza kupizi mwenyewe 😅😅😅
Rehema facebeat
Nda insta mSearchMkuu una konekisheni yake?
Hakuna mwanajf aliye nese juu ya huyo mrembo atupe connection