Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Upo zako kwa daladala mara unaingia humu, mara mnara nao unaanza kukusaliti mbele za watu. Wakuu natafuta pesa ninunue kamkweche🤣🤣🤣🤣🤣
Kupata kimkweche ni muhimu sana

Kuna siku ilinikuta hii hali lakini ilikuwa kwenye kikao fulani ukumbini, nililazimika kuingiza mkono mfukoni ili kuweka sawa mazingira maana nilikuwa nimevaa suluali ya kitambaa.
 
20230718_102553.jpg
 
Back
Top Bottom