Hatuna namna mkuu, tukae pembeni tuwaachie vijana ni wakati wao. Kuna lishape hapo nyuma naambiwa hilo ndio type ya Bantu Lady, moyo umeenda mbio balaa🤣🤣🤣Naona Wazee tumepitwa na wakati, mali zote safi wanakula Vijana tu 🤪
Kupata kimkweche ni muhimu sanaUpo zako kwa daladala mara unaingia humu, mara mnara nao unaanza kukusaliti mbele za watu. Wakuu natafuta pesa ninunue kamkweche🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeona aisee, kusema kweli Vijana wanafaidi, alafu mali safi balaa 🙌Hatuna namna mkuu, tukae pembeni tuwaachie vijana ni wakati wao. Kuna lishape hapo nyuma naambiwa hilo ndio type ya Bantu Lady, moyo umeenda mbio balaa🤣🤣🤣
Hicho kidogo huwa kinanimaliza sana,kila huwa nikiiona hii picha lazima nijichukulie sheria mkononi