Hapana bana, siko kihivyo! Nilikuwa kwenye gari la bosi wangu ananirudisha nikapande gari nirudi nyumbani baada ya kumfanyia kazi. Sasa alishuka kwenda dukani ndio nikapiga picha🤦🏾🤦🏾🤦🏾Ukauliza bei??
Sawa,ni wapi hapo?Hapana bana, siko kihivyo! Nilikuwa kwenye gari la bosi wangu ananirudisha nikapande gari nirudi nyumbani baada ya kumfanyia kazi. Sasa alishuka kwenda dukani ndio nikapiga picha[emoji1747][emoji1747][emoji1747]
Acha ukuda, njoo whatsapp 😁😁😁Sawa,ni wapi hapo?
Mhh Akifunjika kwa pozi je?