Hapana bana, siko kihivyo! Nilikuwa kwenye gari la bosi wangu ananirudisha nikapande gari nirudi nyumbani baada ya kumfanyia kazi. Sasa alishuka kwenda dukani ndio nikapiga pichaπ€¦πΎπ€¦πΎπ€¦πΎUkauliza bei??
Sawa,ni wapi hapo?Hapana bana, siko kihivyo! Nilikuwa kwenye gari la bosi wangu ananirudisha nikapande gari nirudi nyumbani baada ya kumfanyia kazi. Sasa alishuka kwenda dukani ndio nikapiga picha[emoji1747][emoji1747][emoji1747]
Acha ukuda, njoo whatsapp πππSawa,ni wapi hapo?
Mhh Akifunjika kwa pozi je?