Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Qumamamake! Kumbe huu uzi ni unyama sana ki hivi?

Nilikuwa sijawahi kuufungua ila now ngoja nikae seat ya pili kutoka mbele dilishani

Sichezi mbali na uu uzi
Megabytes zangu zote zinishiaga ktk uzi huuuu, mpaka mke wangu namuonga Kama anajifanya mzuri na wakati Kuna pisi kibao zinaangaika kwy mitandaoo kutafuta kuolewa
 
Sijaelewa old version ktk Android au IOS. Maana hata Mimi Kuna picha nyingi zinakataaa kufunguka
Mimi nilikuwa na tatizo hilo hilo, nikaambiwa sababu natumiya app. Sijuwi enzi hizi nani anataka arudi kwenye www.[emoji2379] ila kwa leo safi kabisa. Picha zote zafunguka ila sijuwi kilichotokeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…