Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wakuu, napenda kuwaasa licha ya kuwa tunawala sana hata kimasihara pia lakini tusisahau kujilinda ngoma ipo sana, pia siku mmoja wetu akibahatika kupitia kwenye Hospitali zile kubwa siku wanapokwenda kuchukua karanga naamini atakuja na ushuhuda hapa. Maana kuna watoto visu balaa yaani huwezi kuamini kama wameungua 🤦🤦🤦
Tujilinde sana, ndom ndio mpango mzima.
Ujumbe wa leo "Hata akiwa mbichi na mzuri vipi usiuze mechi"
 
Muda mwingine giza linaboa kinoma, kama hapo sasa linafanya kazi gani🤦🏾🤦🏾🤦🏾
95bf0efcf2b3486cb16ed2c78d0df22c.jpg
 
Back
Top Bottom