Ila we jamaa 🤦🏾🤦🏾🤦🏾
Hiyo minazi imepandwa au ya kujiotea?
Usipotuona fuata unapotoka MOSHIEeeh eeh! Sheilaaaa!! 🤦🏾🤦🏾🤦🏾
Mtoto kanyooka oie!
Wewe kwea tu huo mnazi kwa kutumia mkono mmoja usiulize kuna minazi mingapiHiyo minazi imepandwa au ya kujiotea?
Mkuu wangu!Ewaaaaaaa
Habari yako mkuuMkuu wangu!
Lazima ukwee mnazi na mkono mmojaWanaume hakika tunapitia mengi mazito, hizi figure hapa kama ni mdhaifu utapata shida sana.