Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kienyeji 101
IMG_20230726_071603_585.jpg
 
Wakuu, napenda kuwaasa licha ya kuwa tunawala sana hata kimasihara pia lakini tusisahau kujilinda ngoma ipo sana, pia siku mmoja wetu akibahatika kupitia kwenye Hospitali zile kubwa siku wanapokwenda kuchukua karanga naamini atakuja na ushuhuda hapa. Maana kuna watoto visu balaa yaani huwezi kuamini kama wameungua 🤦🤦🤦
Tujilinde sana, ndom ndio mpango mzima.
Ujumbe wa leo "Hata akiwa mbichi na mzuri vipi usiuze mechi"
Kwenye wabichi akili huwa inaruka
 
Back
Top Bottom