Naona toka juzi Pic zinafungukaVipi wazee kuna maboresho yamefanyika JF? Mbona picha zilizokua zinagoma kufunguka leo zinafunguka vizuri [emoji15]
Admin kanogewa na utam wa uziVipi wazee kuna maboresho yamefanyika JF? Mbona picha zilizokua zinagoma kufunguka leo zinafunguka vizuri [emoji15]
Anajitahid kupitia kila post Ili aangalie atakae mpost mke wakeHivi humu kuna post ambayo Mideko hajalike kweli