myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwalimu wa somo gani huyo..
Kwa jirani moto...[emoji1206][emoji1206]View attachment 2769166View attachment 2769167
Kwa Uzee huu nilionao nikikutana na hayo matandamu ndiyo itakuwa tiketi ya Babu yenu kwenda kwa Sir God.
Hawa wazee wenzako 😅😅Kwa Uzee huu nilionao nikikutana na hayo matandamu ndiyo itakuwa tiketi ya Babu yenu kwenda kwa Sir God.
Maana yanahitaji uwe kijana na umeshiba🤗
Hao sio Wazee, hao roughly wana miaka 30 hadi 40.Hawa wazee wenzako 😅😅