Huyu Zai namtaka sana. Hakuna mwamba mwenye namba zake?
Nilijua tu kuna dada/watoto/warembo wetu wataanikwa humu, hii kazi aisee!!
Mimi huyoJana nilikua naangalia mpira bandani sasa kuna jamaa alikaa mbele yangu nikamuona yupo kwenye huu uzi anapitia tena anaweka na like [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]