Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Natamani ningeelewa ulichokiandika...Enzi zako huna chambuche parangana
Ila enzi zetu zilikuwa zile za kienyeji 🏃🏃
Natamani ningeelewa ulichokiandika...Enzi zako huna chambuche parangana
Ushapitwa na wakati hivyo vijana tuaharakatiNatamani ningeelewa ulichokiandika...
Ila enzi zetu zilikuwa zile za kienyeji 🏃🏃
Kwa kweli MkuuUshapitwa na wakati hivyo vijana tuaharakati
Sasa babu hii connection inayoendelea hivi hata pua unanusa kwer🤣Kwa kweli Mkuu
Wakati si milele, tumebaki kulea Wajukuu tu saivi 🤪
Kumbe kuna connection na hunipi taarifa Mkuu?Sasa babu hii connection inayoendelea hivi hata pua unanusa kwer🤣
Naona znasambazwa na kina #Mdeko mfuatilie utajua pis zinazotembezwa usije ukabaki kuharahara tu😄Kumbe kuna connection na hunipi taarifa Mkuu?
Ohooooooo kumbe Babu kijanaMimi na Mideko hatudhuriani, najua atafanya jambo Bsbu yake nione hiyo connection 🤪
Wanawake wanaopakaa make-up nyeusi kweny macho>>>>>>>>>>
Ni wale Wazee tunaogoma kuzeeka, yaani kila wiki lazima twende Saluni kupakwa Piko ili kuficha Mvi 🤪Ohooooooo kumbe Babu kijana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shumbe🙌🍿wazee wa hovyo hovyoNi wale Wazee tunaogoma kuzeeka, yaani kila wiki lazima twende Saluni kupakwa Piko ili kuficha Mvi 🤪
Hahaha.........tumebaki washauri wa Kitaifa, mkileta mambo yenu magumu kwetu yatakuwa rahisi 🤗🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shumbe🙌🍿wazee wa hovyo hovyo
Mbn hata hilo jambo ni gumu msharigeuza changamoto ndogo😆Hahaha.........tumebaki washauri wa Kitaifa, mkileta mambo yenu magumu kwetu yatakuwa rahisi 🤗
Ndiyo uone busara za sisi Wazee zilivyo kubwa 🤗Mbn hata hilo jambo ni gumu msharigeuza changamoto ndogo😆
Siwaelewi wazee tuwaweke kundi gani ikiwa sekts zote mnataka mpoeNdiyo uone busara za sisi Wazee zilivyo kubwa 🤗
Anakishundu bhnMkuu ninaomba source ya uyu dada/ jina lake
Mtusamehe tu, unajua umri huchangia akili zipoeSiwaelewi wazee tuwaweke kundi gani ikiwa sekts zote mnataka mpoe
Sasa kama kila sekta mnataka mkae vijana twende wapi tukakaeMtusamehe tu, unajua umri huchangia akili zipoe