ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Nang'ataKwa hiyo una tafuna???😂
Nang'ataKwa hiyo una tafuna???😂
Mjeinger sana🤣🤣🤣🤣Nang'ata
vimodo vyangu ndo navipostiaga humu😅Huu uzi ni mzuri sanaaa😄
Acha nyetto wewe, umejaza warembo kwa gallery yako na miche ya jamaa😂vimodo vyangu ndo navipostiaga humu😅
Basi una pisi qaliivimodo vyangu ndo navipostiaga humu😅
Jiongeze mkuu!
anapenda kudislike post zanguImekuaje tena?
Mwenyew kuna mchizi flani ivi anaitwa sijui penseli4 anapenda sana ku-dislike comments zangu, sema simchukuliagi serious.anapenda kudislike post zangu
Uwana kwenye nn tena! 😆😆😆. Dogo unataka niwe mwana 🤣🤣🤣. Si unajua tabia zangu za ukinyonga nabadilika muda wowote!wewe sio mwana wallah
SafiiiiSomething bigView attachment 2802521
Utataka tu 😁Feni tedoka Na mimi Sitakii!!!
Wapi hiyoo...
Kama shangazi hivi..