Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

FB_IMG_1701681467360.jpg
 
Mimi nilikuwa nawaaga wakuu. Sitaposti tena katika uzi huu. Nimeombwa niachane na haya mambo na mtu wa muhimu sana kwangu na ni lazima nimsikilize. Kila la heri wakuu 🙏🏿

Moderator na/au Cookie. Naomba
sana mnipige ban ya maisha ya kutoingia tena katika uzi huu. Asanteni sana! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

View attachment 2836572View attachment 2836573

View attachment 2836576
umefanya maamuzi mabaya sana kukubali huo ushauri
Huo mchoro ukutani nilidhani ni PM Majaliwa 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
pm kucheka kwake hadi korosho zikubali kwa wingi ...........
huwa hapanui mdomo hovyo
 
Back
Top Bottom