Leo tupia yako eehNimeyapokea
Nimegeuza simu nione yaliyomo lakini holaaa🤦🏾🤦🏾🤦🏾
Huo mchoro ukutani nilidhani ni PM Majaliwa 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
@MidekoLeo tupia yako eeh
umefanya maamuzi mabaya sana kukubali huo ushauriMimi nilikuwa nawaaga wakuu. Sitaposti tena katika uzi huu. Nimeombwa niachane na haya mambo na mtu wa muhimu sana kwangu na ni lazima nimsikilize. Kila la heri wakuu 🙏🏿
Moderator na/au Cookie. Naomba
sana mnipige ban ya maisha ya kutoingia tena katika uzi huu. Asanteni sana! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
View attachment 2836572View attachment 2836573
View attachment 2836576
pm kucheka kwake hadi korosho zikubali kwa wingi ...........Huo mchoro ukutani nilidhani ni PM Majaliwa 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
picha la kutisha hili,mama wa kazi ngumu
yah fundi wa mafundipicha la kutisha hili,mama wa kazi ngumu