Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Hapana bro uzi unaruhusu zote zote, nilitaka kujua kama huyo binti yuko Tanzania. Yaani ilikuwa bado kidogo tu nilipige bei shamba langu la KisijuHapana, picha kadhaa nikizotupia hapo pamoja na hiyo ni za watu wa Afrika Kaskazini na nyingine ni mashariki ya kati
Vipi bro, huu uzi hauruhusu picha za nje ya Tanzania ?
Sura ya upole 🔥
Hii nilishaivua haina chcht cha kushangaza, nilijutia 200k yangu
Mi warembo wa nini raraa reree ?🤓🤓
Wewe ni gadem kisu utupie 😄Mi warembo wa nini raraa reree ?🤓🤓
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni gadem kisu utupie 😄