Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Hapana, picha kadhaa nikizotupia hapo pamoja na hiyo ni za watu wa Afrika Kaskazini na nyingine ni mashariki ya kati

Vipi bro, huu uzi hauruhusu picha za nje ya Tanzania ?
Hapana bro uzi unaruhusu zote zote, nilitaka kujua kama huyo binti yuko Tanzania. Yaani ilikuwa bado kidogo tu nilipige bei shamba langu la Kisiju
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…