Zikiwa zimepita siku 44 (wiki sita na siku 2) tangu aliyekuwa mnenguaji bei mbaya nchini, Monica Vincent ‘Diana Aston Villa' afariki dunia, kauli nzito aliyoitoa mwaka jana alipokuwa anaugua, imeanza kuibua viulizo. Kikubwa kinachotesa ubongo ni kitendawili alichokiacha kuhusiana na...