Abc za huyu mrembo
Ee bn wapi iyo mze showlaki 2 kisa kipochi manyoya! na bado ukauziwa bidhaa feki
mbona kuna watoto wapya kabisa toleo jipya ni wewe na safari lager 4
unaopoa kitu
maaaaaaamaaaaa weee kila picha nikiangalia nilikuw napiga mluzi nilipokutna na hii nmeshtuka mluzi ukaishia njiani ila nmeipenda[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2888293
Dah ulikula mali safi