Ila hii Afrika sijaona nchi ina pis kali kushinda Ethiopia.Jamani nchi gani huko? Naamini nikirudi Tanzania toka nchi hiyo basi na uboow utakuwa umeshakatika na nimeuacha huko 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Bila shaka Addis ababa product hii.
Mafuta ya upakoKaisha kiaje mkuu fafanua