Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Ethiopia kinachowabeba ni rangi ya Mtume tu! Kuna siku nilipanda ndege moja ya Ethiopian Airlines, aisee yule Air hostess nilitamani nimpake pilipili nimle! Ana ngozi flani soft na rangi ya kimtume balaa, mtoto hana hata kovu! Ila alijua kama nimemzimikia!! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️Ila hii Afrika sijaona nchi ina pis kali kushinda Ethiopia.