ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Hii mali huwa nikiiona huko mitandaoni nashtuka, hizi ndio pigo zetu sasa
Hii mali huwa nikiiona huko mitandaoni nashtuka, hizi ndio pigo zetu sasa
Ethiopia moja hiyoo.
Aisee aiseee kwa staili hii kituo cha kwa mpalange tunanusurika kweli!!??
🥴Nawe pia ulale unono
Dah..
Itabidi tuunge undugu! DahHii jamii naielewa sana maana bimkubwa ni jamii ya huko huko sema yeye ni MuEritrea.
Kuna ndugu zangu niliona watoto wa mamdogo 😂😂😂😂 nikatamani nipige pipe astagafiruuuu.
Unakaribishwa ila tu uwe muislam swafiii shekhe.Itabidi tuunge undugu! Dah
🤣🤣 Kifo ni Kifo, dawa zipoUKIMWI upo na UNAUA.