Ni Zaidi ya Hatari mzee mwenzanguHatar.
Nna kama haka somewhere
Hicho kisketi kinatia mzuka.
Hongera mkuuNna kama haka somewhere
Kama unzo hizo picha nitumie inbox tafadhali.We should NEVER judge people by their past as none of us is perfect...and we serve God of second, third...and thousands of thousand chances.
Huyu mwimbaji wa Injili mlimbwende alivujisha picha zake za utupu mwaka juzi na mwezi wa tano mwaka huu anasimikwa rasmi kama mchungaji. Wapo wengi wanaopiga kelele kuwa hafai utafikiri wenyewe ni wasafi sana na hawana dhambi.
You go girl...and preach the saving Gospel of our Lord without fear 👏👏👏🙏🏿
View attachment 2962254View attachment 2962255View attachment 2962256View attachment 2962257View attachment 2962258