Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umenipa bonge la idea. Kweli demu akizingua unamtumia hii link ajionee mwenyewe 🤣🤣🤣🤣. Ngoja nimtumie candy ajione alivyo wa kawaidaKuna demu alikua anajiona cake sana, nikamtumia link ya huu uzi. Nilipewa block la maisha.
Kufa kupo tuu ukimwi nao ni moja ya sababu ya kifoKuna nyama nzuri sana aisee, sema huu ukimwi tu yani.
Lazima upewe tofali.Aisee umenipa bonge la idea. Kweli demu akizingua unamtumia hii link ajionee mwenyewe 🤣🤣🤣🤣. Ngoja nimtumie candy ajione alivyo wa kawaida
Mkuu fanya mpango unipe jina lake analotumia Instagram