Kufa kupo tuu ukimwi nao ni moja ya sababu ya kifoKuna nyama nzuri sana aisee, sema huu ukimwi tu yani.
Lazima upewe tofali.Aisee umenipa bonge la idea. Kweli demu akizingua unamtumia hii link ajionee mwenyewe 🤣🤣🤣🤣. Ngoja nimtumie candy ajione alivyo wa kawaida
Mkuu fanya mpango unipe jina lake analotumia Instagram
jamani mwenye connection ya huyo mrembo anisaidie basi na mie nikaenjoy nae