Kweli mkuu, tunatofautiana sanaUzuri wa mtu upo machoni pake
Endelea Mkuu π€
Naona umeamua kuji promo?View attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
Huyo Kwa haraka haraka hakosi 41 πKwa wengine ni dada, kwa wengine lishangazi..... haya maisha haya.!
Kabisa, mtoa mada aseme amependa hicho kifua tu πKweli mkuu, tunatofautiana sana
Wengine hizi ndio kazi zetu π€£π€£Kweli mkuu, tunatofautiana sana