Fake ake mimi sio mzembe kiasi hicho😁😁Min ake Jifariji 🤣🤣
Nadhani ndo sababu hasa za jamaa kudataHadi wewe pasta?
🤣🤣Kama msemaji wa the strong silent team. Hatupokei maneno matupu. AhsanteFake ake mimi sio mzembe kiasi hicho😁😁
Hahahahaha, halafu ngoma haipoi ujue, mizuka km yoteHakuna kitu inaleta hamasa ya kuchapana miti kwa mwanaume kama Yale maji aseeeeee ni raha yake haielezeki. Kwa uzoefu wangu
🤣🤣🤣🤣🤣mtu anafunguka hadi unatafuta sehemu ujiweke sawaHuyo nilimkubaligi siku moja Kuna Uzi fulani tulikutana asee alifunguka hadi nikaamua kumpa salute yake🤣
Safi mangi🤣🤣Eeeeeh walaaa upo kama mimi kaka mkubwa😁
Pasta umeharibika sana 😁Nadhani ndo sababu hasa za jamaa kudata
Homeboy inaonekana anaua kimya kimyaHuyo homeboy wako kwanza bado anakasafari. Kila tukijaribu kumsogezea magoli habebeki 😂😂anapiga nje, Goli kipa amechoka ephen_
Sio mchezoHahahahaha, halafu ngoma haipoi ujue, mizuka km yote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mtu anafunguka hadi unatafuta sehemu ujiweke sawa
Kumbe basi hujampenda kwa pozi lake bali umempenda umkule mbunyeView attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
Kuiomba nini ephen 😊Nilishakuambia hujui jinsi ya kuiomba
Umezidi upoleee