Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Nenda jukwaa la SIASA!Huu uzi umepoteza mvuto ase
Chief mbona una makusudi lakini!! Kwanini umetuwekea picha nusu? 🙁🙁🙁
Sio tu kama wewe unapenda, vitu vingine vinakuja naturally. Mimi pia huwa inatokea kupendwa sana na videmu vifupi! Mademu warefu kama nina gundu nao!!NINA UGONJWA WA KUPENDA VIDEMU VIFUPI VIDOGO DOGO,mimi ni mrefu 180+ cm
Tako limevaa lapa