pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Picha ya mwaka
Tujuane wale tuliozoom hii picha hapo Kwa center of gravity
Ulifanya jambo la maana sanaIla kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo