Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

FB_IMG_1736403821903.jpg
 
Nilishangaa sana nilipo tembelea mkoa wa Mtwara na kukuta kuna wataalamu wa kutengeneza shape, kurekebisha viuno na kukuza makalio kwa njia za asili.

Nashauri serikali ifungue taasisi mahsusi kwaajili hiyo mkoani Mtwara. Taasisi hiyo iitwe Taasisi ya Kimataifa ya Kukuza Makalio (TAKIKUMA)

Hapo watafutwe makungwi, wamama na wabibi wa Mtwara wenye ujuzi huo kisha waajiriwe na serikali iitangaze kimataifa ili kuteka soko la Africa, Ulaya na Asia.

Ni wakati wa kuikalisha uturuki kwani wao hutumia njia za upasuaji wakati hawa wataalamu wa kusini huyarekebisha kwa kutumia mikono na shanga.

Yani waliopata huduma hii huwa na makalio mazuri mno yanakuwa kama yamebinuka hivi na kiuno chembambaa na hawana matumbo makubwa.

Asanteni. Naambatanisha sampuli hapa chini.
images (1)~4.jpeg
images (1)~3.jpeg
images (2)~3.jpeg
images (2)~2.jpeg
 
Back
Top Bottom