Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ni wanawake wachache sana ambao huwa wanapendezwa na suruali
Haiwezi isha hadi yesu anarudiNawaza tu hii fashion ikipita/kuisha watakatwa au kutakuwa na utaalamu wa kuyapunguza,maana wengine kwa sasa hata kutembea wanapata tabu..
Tabata moja hiii....UTI kama yote