Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isitho sangasese
And beautiful ❤️
Dah yaani huyu ni kama dude langu moja hivi side chick wa kipara yaani ❤️Nina miaka zaidi ya 10 humu na sina tabia ya kutolea watu kauli mbaya, dharau wala kutukana. Naamini ilikuwa ni katika muktadha huu huu wa utani na pengine ulichukulia out of context. Hii nadhani ni mara ya pili unarudia hili jambo. Inaonekana uliumia kweli kweli na tangu mwaka 2022 huko bado tu una chuki na maumivu wakati mimi wala sikumbuki nilisema nini. Na nadhani nilishakuomba msamaha. Achilia please!
Kwa mengine yote uko sahihi. Na utani wa timu vimbaumbau vs. Bantu ladies ni sawa tu na ule wa Simba na Yanga (au ule wa Wasukuma vs. Makabila mengine). Unaburudisha japo wakati mwingine unaweza kupitiliza. Don't take anything personal please; na ukiona huna kifua just leave the convo maana ku-control watu na perceptions zao napo ni pagumu kweli kweli. Hebu kila mtu ashinde mechi zake - kama inawezekana! 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
View attachment 3233188
View attachment 3233190
View attachment 3233191
View attachment 3233192