Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Ata bure, hapana
Digidigi ndo ugonjwa wangu
Huyu inaonekana apple yake Iko tamu sana😋😋hata mimi ningekua na mkwanja ningeenda kutest Ili nijue kama yaliyomo yako au yaliyomo hamna😡 maana amebeba Kijiji kabisaMariah Carey na followers wake🤣
Huyu mbona mbongo kabisa una Ig yake mkuu
Sababisha username yake mkuu mitandao ya kijamii kama ig huko