KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Hebu tuonyeshe sura ya baba tupate kukonga nyoyo...😂Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi 😂😂😂
Hebu tuonyeshe sura ya baba tupate kukonga nyoyo...😂Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi 😂😂😂
Hamna wa kupinga.View attachment 3304930
Akikuangalia tu its over
Kwa kweli wengi wetu tumewaharihu sana mabinti zetu, sura zao ni zetu🤣Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi 😂😂😂
Unafikiri hata sura tunaangalia basi, kikubwa upumue na uwe na viungo husika tu, mengine mbwebwe tu.Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi 😂😂😂
Mamaa evalin chumvi, mambo?Hiyo make up inaongea "sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi"
Sijasema anawazid wengine, elewa topicFilter tu hata kitambaa cheupe na buza wamejaa kibao wazuri kumshinda.
Sijambo shkamooMamaa evalin chumvi, mambo?
Baba kama baba ila nyie hii inakeraa😂😂😂Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi 😂😂😂
Marhaba mtoto mwemaSijambo shkamoo
Huwa ni first born, trust meBaba kama baba ila nyie hii inakeraa😂😂😂
Kama ndio mtoto wa pili kuzaliwa utake usitake kumfanania baba ni lazima
First born wengi wanafanana na mama bhana😂Huwa ni first born, trust me
😃😃😃Yaani acha tu manyanyaso huku mtaani ukiringa inaonekana kma unatak kujinyonnga sura inakataa maringo😂Baba kama baba ila nyie hii inakeraa😂😂😂
Kama ndio mtoto wa pili kuzaliwa utake usitake kumfanania baba ni lazima
Sante mjumbe umetutia moyoUnafikiri hata sura tunaangalia basi, kikubwa upumue na uwe na viungo husika tu, mengine mbwebwe tu.
Muwe mnajitahid kutununulia soda angalau Kila weekend tujipoze machungu ya kuchukua surazenu 😂😂Kwa kweli wengi wetu tumewaharihu sana mabinti zetu, sura zao ni zetu🤣
Usije kukimbia 😃😃Hebu tuonyeshe sura ya baba tupate kukonga nyoyo...😂
😂😂😂😂,.😃😃😃Yaani acha tu manyanyaso huku mtaani ukiringa inaonekana kma unatak kujinyonnga sura inakataa maringo😂